Habari wana Jf Doctor, kama kichwa cha habari kinavoeleza naombeni kujua sababu zinazosababisha joto la mwili kupungua maana joto langu la mwili limepungua wakati mwingine jioni mikono yangu inakuwa ya baridi sana mpaka nashangaa, naombeni ushauri nifanye nn au nitumie vyakula/dawa gani vitakalofanya joto langu liongezeke.. Asanteni