zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
tena siku hizi sio mwanamme suruali tena maana hata wanawake wanavaa.
Siku hizi wanaitwa 'mwanamme shati'
khaa hayo majina mie hoooii Gogo mtu? nyoka wa kibisa? duuuh
sielewi ngoja nikatafute kamusi
Acha wewe,haya majina mnatupa sana...sijui na nyie tutawaitaje
hahahah haya nasikia kuna hii mwanaume si sura,, ATM iliyonona!! haahha,, sisi ndo malaika mnataka mtuitaje sasa?
Mwanaume majukumu na sio jina
tena siku hizi sio mwanamme suruali tena maana hata wanawake wanavaa.
Siku hizi wanaitwa 'mwanamme shati'
Swali langu hapo juu...
Nini kinachopelekea watu kupewa majina haya yafuatayo..
1.Mwanaume Suruali.
2.Gogo mtu
3.Nyoka wa kibisa
....mengine mtaongeza..na sababu....
...,
..........
Swali langu hapo juu...
Nini kinachopelekea watu kupewa majina haya yafuatayo..
1.Mwanaume Suruali.
2.Gogo mtu
3.Nyoka wa kibisa
....mengine mtaongeza..na sababu....
...,
..........
Mnaitwa hivyo kwasabau mnataka kulelewa na nyie majukumu hamtimizi mnategemea nini??
nimelipenda jina lako..."double K"