Ngoja nilewe kwanza ndo nije kutia nenoKiuchumi hii ni njema sana, sijui kiafya ikoje!
Utasikia watu wakisema ukichanganya bia unalewa fasta, binafsi nilidhani tofauti ya bia ni majina tu na viwango vya kilevi ila viambata vingi ni sawa.
Basi majuzi hapa nilichoshuhudia ni tofauti, cha ajabu alianza na kilevi (alc v/v) kubwa akifuatia ndogo. Ghafla akaanza kulaumu kuchanganya bia.
Kwanza hii dhana ni kweli? Nini sababu yake?
Ncha Kali.
Wadhamin wa kupindi tu JombaaTumefikaje huku!
Nilicheka sana nilivyosoma uzi wake.
Kama hawajafika tuanze kuwatagTukae kwa kutulia!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji10] AiseeeeeNilicheka sana nilivyosoma uzi wake.