Zambavuni
Senior Member
- May 24, 2012
- 118
- 26
Habari ya majukumu wana JF?
Nina mfanyakazi mwenzangu wa kike tunafanya kazi ofisi moja. Mwanamke huyo ana tatizo la kusinzia mara kwa mara. Iwe ni asubuhi mara tu baada ya kufika kazini, iwe ni mchana hata jioni. Nimejitahidi kumsaidia bila mafanikio.
Kama kuna mtu ana uzoefu wa jambo hili kwanza chanzo chake na jinsi ya kutibu/kuponya.