Nini sababu ya kusinzia sinzia mara kwa mara?

Zambavuni

Senior Member
Joined
May 24, 2012
Posts
118
Reaction score
26
Habari ya majukumu wana JF?

Nina mfanyakazi mwenzangu wa kike tunafanya kazi ofisi moja. Mwanamke huyo ana tatizo la kusinzia mara kwa mara. Iwe ni asubuhi mara tu baada ya kufika kazini, iwe ni mchana hata jioni. Nimejitahidi kumsaidia bila mafanikio.

Kama kuna mtu ana uzoefu wa jambo hili kwanza chanzo chake na jinsi ya kutibu/kuponya.
 
Atakuwa ana uzito uliopitiliza, nadhani hata ukimwangalia uvutaji wake wa hewa sio mzuri pia na ulaji vyakula wa hovyo hovyo. Labda kingine kama ana watoto wadogo wanaohitaji uangalizi wa usiku hii inachangia kupunguza muda wa kulala.
 
Uzito wake si wa kutisha, uvutaji wa hewa sina uhakika, ila kula na kunywa anapendelea mara nyingi juice za azam na clips za ndizi.
 
Siku moja nilienda naye seminar Mkoani na alilala mapema sana, lakini kesho yake usingizi ulikuwa palepale!
 
Siku moja nilienda naye seminar Mkoani na alilala mapema sana, lakini kesho yake usingizi ulikuwa palepale!
Chezea mechi za ugenini wewe, inaonesha huko mara baada ya kuachana naye usiku huo ndiyo aliharibu kabisa...
 
Chezea mechi za ugenini wewe, inaonesha huko mara baada ya kuachana naye usiku huo ndiyo aliharibu kabisa...

Mmama wa watu anatia huruma hawezi kumaliza hata kazi moja anayopewa na boss wake. It's real serious! Namuonea huruma kumsaidia kulamalizia viporo vya kazi. Last time tulinunua kahawa ofisini tukifikri itamsaidia, hiyo ndo kwanza baada ya kumaliza kikombe akawa kama vile kapewa piriton, pale pale alipiga usingizi wa nguvu.
 
Huyo ametupiwa pepo/jini la pono ili aharibu kazi. Mpelekeni kwenye maombezi au kama anaamini katika tamaduni wenyeji wa Bagamoyo wanaweza kuwaelekeza vizuri....
 
eheee. Anza kwa kutuambia ulimsaidieje?
 
eheee. Anza kwa kutuambia ulimsaidieje?

Aliruhusiwa kulala anglau dk 50 kwa awamu mbili ili apunguze usingizi, nilimununulia ki-carpet kidogo na pillow, pia kumsaidia kumalizia viporo vyake vya kazi.
 
atakua anaugonjwa wa malale. mdudu anayesambaza huu ugonjwa anaitwa mbung'o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…