Nini sababu ya kutapika?

Nini sababu ya kutapika?

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,667
Habari wadau.
Hili tatizo ni kama nimetokanalo mbali, tangu nikiwa mtoto hali hii nilikua nayo.
Naomba kujua kama kuna dawa au ni tumbo langu halikubaliani na hali fulani?
 
Pole mkuu lakini hujajielezea vizuri hali hio hukutokea wakati gani?
 
Pole mkuu lakini hujajielezea vizuri hali hio hukutokea wakati gani?

Asante

Mara nyingi ni baada ya kula, (sio vyakula vyote na wala sio mda wote).
 
Kuna mtu ukimwambia mambo machafu machafu wakati wa kula huweza kutapika!
 
Back
Top Bottom