utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,667 Nov 9, 2014 #1 Habari wadau. Hili tatizo ni kama nimetokanalo mbali, tangu nikiwa mtoto hali hii nilikua nayo. Naomba kujua kama kuna dawa au ni tumbo langu halikubaliani na hali fulani?
Habari wadau. Hili tatizo ni kama nimetokanalo mbali, tangu nikiwa mtoto hali hii nilikua nayo. Naomba kujua kama kuna dawa au ni tumbo langu halikubaliani na hali fulani?
brenda18 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 5,687 Reaction score 5,287 Nov 9, 2014 #2 Pole mkuu lakini hujajielezea vizuri hali hio hukutokea wakati gani?
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,667 Nov 9, 2014 Thread starter #3 brenda18 said: Pole mkuu lakini hujajielezea vizuri hali hio hukutokea wakati gani? Click to expand... Asante Mara nyingi ni baada ya kula, (sio vyakula vyote na wala sio mda wote).
brenda18 said: Pole mkuu lakini hujajielezea vizuri hali hio hukutokea wakati gani? Click to expand... Asante Mara nyingi ni baada ya kula, (sio vyakula vyote na wala sio mda wote).
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,673 Reaction score 1,875 Nov 9, 2014 #4 Kuna mtu ukimwambia mambo machafu machafu wakati wa kula huweza kutapika!