1. Lishe duni
2. Ulaji wa vyakula na vinywaji vya hovyo
3. Ukosefu wa elimu ya lishe
4. Mazingira mabovu i.e mbu, kunguni, vumbi, nyumba mbovu
5. Chakula kichache i.e unakula mara 1 au 2 au 3 tu kwa siku wakati magharibi wanakula mara 5 kwa siku
6. Mifadhaiko/stress
7. Elimu duni
8. Kuamini kila tunachoambiwa na daktari bila hata kuuliza kwanini
9. Elimu ndogo ya uzazi wa mpango
10. Rasilimali nyingi za thamani tulizonazo i.e madini, ardhi, misitu, asali, gesi, etc
11. Kutokufanya mazoezi
12. Ukosefu wa supermarkets
13. Chanjo mbalimbali
14. Unywaji pombe za kienyeji bila kula chakula
15. Kilimo cha jembe la mkono
16. Kupendelea zaidi ugali wa sembe badala ya ugali wa dona ...
nitaendelea tena