Nini sababu ya majibu ya Ultrasound kutofautiana?

crucial

Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
30
Reaction score
2
Habari wadau, sababu ya kupishana kwa majibu ya ultrasound ni nini? Mwanzo yalionyesha EDD n tar 22/10/2015 mimba ikiwa na miez mi4.

Na sasa inaonyesha tar 22/11/2015.

Msaada tafadhari. Asante kwa muda wenu mtakaotumia.
 
Habari wadau,sababu ya kupishana kwa majibu ya ultrasound ni nini? Mwanzo yalionyesha EDD n tar 22/10/2015 mimba ikiwa na miez mi4. Na sasa inaonyesha tar 22/11/2015. Msaada tafadhari. Asante kwa muda wenu mtakaotumia.

hii kitu hata mim naisubiri sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…