Swizzy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 773
- 514
Habari wakuu!!
Niko nachota mchanga kwa kutumia koleo hapa Nyumbani, sasa kila ninapo chota huo mchanga kuna kelele/sauti Kali ya kuscrachi/ya mkwaruzo inatokea hii ni kutokana na huo mchanga kuwa juu ya floor ya marumaru ndio hupelekea kelele hizo kutokea.
Sasa kuna jamaa zangu wawili hapa pembeni yangu wana niambia nawaumiza meno kutokana na hizo kelele za kuchota mchanga kwa koleo, na hii kitu nime wahi ishuhudia kwa watu wengi, meno yao huwa yana uma pale endapo sauti kali ya mkwaruzo ikisikika.
Nataka kujua kuna uhusiano gani wa kuuma kwa meno na hizo kelele/sauti Kali za mkwaruzo?
Karibuni wataalamu wa mambo mtujuze
......NAWASILISHA.....