Nini sababu ya meno kuuma baada ya kusikia sauti kali ya mkwaruzo?

Swizzy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
773
Reaction score
514
Habari wakuu!!

Niko nachota mchanga kwa kutumia koleo hapa Nyumbani, sasa kila ninapo chota huo mchanga kuna kelele/sauti Kali ya kuscrachi/ya mkwaruzo inatokea hii ni kutokana na huo mchanga kuwa juu ya floor ya marumaru ndio hupelekea kelele hizo kutokea.

Sasa kuna jamaa zangu wawili hapa pembeni yangu wana niambia nawaumiza meno kutokana na hizo kelele za kuchota mchanga kwa koleo, na hii kitu nime wahi ishuhudia kwa watu wengi, meno yao huwa yana uma pale endapo sauti kali ya mkwaruzo ikisikika.

Nataka kujua kuna uhusiano gani wa kuuma kwa meno na hizo kelele/sauti Kali za mkwaruzo?

Karibuni wataalamu wa mambo mtujuze


......NAWASILISHA.....
 
Hali hiyo kitaalam inaitwa kupatwa kwa meno.Yaani meno huwashwa washwa panaposikika kelele za mikwaruzo.Ili kukabiriana na hali hiyo sisi wataalam tunashauri kubwia ugoro kwa wingi pindi usikiapo kelele hizo.
Naamin nimekujibu kitaalam mkuu,lkn kama bado una swali karibu
 
umeniacha mbali mtaalamu wa ugoro
 
Kesi kama hiyo kwa upande wangu huwa napata shida sana nikisikia kelele za brake ya baiskeli (kuna aina flani ya baiskeli ndogo zina mfumo wa brake unaotoa kelele kama nyoka anafoka yaani "swiiiiiiiiii".
Nikisikia hivyo lazima nizibe masikio ama lah madhara yake huwa ni kupata mfadhaiko wa mwili.
Bado sijafahamu chanzo cha tatizo hili pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
au ung'ate nguo zilizofumwa kwa mfumo wa nyuzi za kufumia kama masweta inatokeaga sjui tatizo nn
 
huwa wanaita brake za Disc/cd
 
Mimi nukisikia mkwaruzo wa kizibo cha soda huwa dushe linasimama fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…