N Nansawa Senior Member Joined Sep 22, 2008 Posts 190 Reaction score 30 Jan 23, 2013 #1 Nilifanyiwa upasuaji miaka miwili iliyopita, nimekuwa nikipata hali ya kuwashwa mshono nyakati fulani fulani, ikiambatana na maumivu kiasi. Je, hii husababishwa na nini na kuna tiba yoyote?
Nilifanyiwa upasuaji miaka miwili iliyopita, nimekuwa nikipata hali ya kuwashwa mshono nyakati fulani fulani, ikiambatana na maumivu kiasi. Je, hii husababishwa na nini na kuna tiba yoyote?
Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 331 Jan 23, 2013 #2 Tusubirie wataalamu waje ila mimi nafikiri mara nyingi nyakati za baridi au joto kali kovu kuwasha ni kawaida.
Tusubirie wataalamu waje ila mimi nafikiri mara nyingi nyakati za baridi au joto kali kovu kuwasha ni kawaida.
CCNP Engineer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 463 Reaction score 1,286 May 15, 2018 #3 Kumbe sio tatizo