DEar Nansawa, pole kwa mwanao I guess mwanao kwa sasa unampa maziwa peke yake, if yes then angalia vyakula unavyokula wewe pengine vinaaffect content ya maziwa ambayo inamuaffect mtoto.
Kulia wka mtoto wakati wa kucheua hutokana na maumivu anayoyapata wakati huo. So check chakula ulacho wewe mama mtu but kama umeanza kumpa vyakula vingine please kuwa makini na content ya vyakula hivyo au aina ya ingrediants unazotumia meaning aina ya butter ambayo unatumia.
once again pole sana na maumivu yakizidi mpeleke kwa Daktari wa Watoto