Nini sababu ya mtu kubanwa na haja kubwa kwa ghafla inapotokea mshtuko au taarifa mbaya

Kwenye process ya defication kuna process kama nne zinakua involved kwanza ili mtu ashushe mzigo inabidi aingize hewa ndani(+inspiration) then a crose epiglotis ambayo italower interthoracic pressure na kurise intrabdominal pressure.
Baada ya hayo kufanyika inihibitory impulses kwenye anus zinakua removed na mtu anaweza kushusha mzigo kawaida..........


Sasa incase kukiwa na mshtuko hizo inihibitory impulses zinaondolewa na anal sphincter zinarelax.
Hapo mzigo unaweza kutoka kirahisiiiii
 
Kuna jirani yangu mmoja kwenye nyumba alimkoromea na kutaka kumfukuza ndani ya nyumba baada ya kushindwa kulipa kodi, kesho yake mkee WA jamaa ananiambia kuwa mumewe aliharisha usiku mzima kutokana na mshutuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…