Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Habari za humu wadau natumaini ni wazima kwa ambao awapo vizuri kiafya ama majanga tuendelee kuwaombea heri wamalize mwaka huu salama
Jukwaa hili sijaingia muda mrefu sana nilipata mambo mengi kupitia hapa ya kiufundi kipindi nafanya blogs nawashukuru wote ambao siku mliekuwa mnatoa michango yenu hapa yenye tija hadi nitokea kupaamini sana hapa kipindi hichi ndio nilianza kuiamini pia mitandao inaweza kunipatia kipato
Licha ya hayo yote leo nimekuja na tatizo hili
Mimi naaccount Facebook tangu mwaka 2012 inavitu vingi vya muhimu sana sasa leo asubuhi wakati naingia nikaona account yangu imekuwa blocked na wao wenye Facebook sasa ukisoma maelezo wanasema imekuwa blocked sababu inaonekana kuna mtu mwingine naye pia alikuwa anaitumia account yangu kwa simu nyingine Mimi nashindwa elewa sababu account huwa naitumia kwa simu yangu tu