It seems like pengine umekiuka terms and rules zao! Kwamba kuna mtu alikuwa anajaribu kuhack account yako Kwa kuingiza taarifa zako mara Kwa mara kitu kilichipelekea kuleta usumbufu Kwa hao Facebook, pengine huo usumbufu sasa ndio mojawapo ya terms and rules zao zilizowekwa kwamba hutakiwi kufanya hivyo!