Nini shida kwa mwenye dalili hizi?

ceicey

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
306
Reaction score
356
Habari zenu,

Mimi ni msichana wa miaka 24, juzi kati baada ya kukutana kimwili na mume wangu nimeanza kusikia kichwa kuuma asubuhi, tumbo kuwa kama lina gesi na kuuma, mgongo kuuma, na kiuno.

Nina wiki sasa tangu nianze kusikia hizi dalili....

Naomba ushauri!
 
Mlifanya peku peku na hiyo uti kafanye culture
 
Maumivu ya mgongo na tumbo kujaa gesi(bloating) ni dalili za ujauzito

Katika vipimo utakavyofanya usiache Pregnacy Test
 

ulipomwona mtaalamu alikwambiaje? ni vizuri kwa reference za watu wengine hapa.
 
Kapime upate majibu sahihi ila hizo ni dalili za U.T.I.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…