M Mzalendowadamu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2016 Posts 218 Reaction score 318 Apr 4, 2017 #1 Salamu. Naomba anayejua namna au sifa za kuanzisha kituo cha afya cha binafsi anijuz. Hapa nataka kujua hasa sifa za kielimu na uzoefu. Asante kwa yeyote atakaye nisaidia Mungu awajaalie.
Salamu. Naomba anayejua namna au sifa za kuanzisha kituo cha afya cha binafsi anijuz. Hapa nataka kujua hasa sifa za kielimu na uzoefu. Asante kwa yeyote atakaye nisaidia Mungu awajaalie.
kingmb94 Member Joined Mar 20, 2017 Posts 53 Reaction score 37 Apr 4, 2017 #2 Tupo Wang ngoja wake wenye ujuzi wao watupe maujanj
trust112 Senior Member Joined Feb 3, 2014 Posts 194 Reaction score 139 Apr 9, 2017 #3 Kwa hapa kwetu Tanzania ni pesa yako tu ndio sifa ya kwanza mengine yanafuata