NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani nisingeshangaa ni laki 2 na mtumbani kiwe laki. Mwaka jana nilinunua raba hizi za vic nabaki nashangaa ni vipi imedumu mpaka sasa wakati niliwahi nunua mbili na zilishazitupa kwa kuisha haraka sana,
Pia nina shati 2 niliwahi nunua kwa hao jamaa, hakuna shati lilozidi elf 19 ila nimevaa hadi nimeyachoka, hakuna cha kuchuja wala nini.
Pia nina shati 2 niliwahi nunua kwa hao jamaa, hakuna shati lilozidi elf 19 ila nimevaa hadi nimeyachoka, hakuna cha kuchuja wala nini.