Nini siri ya ufaulu mkubwa Form 2, 2014?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Kipindi cha nyuma hali ilikuwa mbaya, sasa hivi majuzi mambo yameanza kuwa mazuri sana, hivi ni mambo gani yamefanyika mpaka mambo yanakuwa mazuri kiasi hiki? Je, ufaulu huu unaendana na uwezo wa wanafunzi?

Source: IPPMedia (bofya hapa) Home
 
yote haya ni matokeo yakuchagua viongozi wasiojiweza kiakili na kimwili kwa kweli mwenye akili timamu hafanyi ujinga huu
 
Baada ya dr Ndalichako kuondolewa kwa kutoa matokeo ya kweli.
 
Mwaka wa Uchaguzi huu...Hayo ya Form Two ni trela, Mchezo kamili unakuja matokeo ya form 4....
 
uchaguzi ndugu. kimsingi kufeli kumeongezeka. yaani ni hivi: kipindi cha nyuma mwanafunzi alipaswa apate wastani wa 30. yaani jumla ya maksi za masimo yote gawanya kwa idadi. lakini haya ya leo hata akioata D mbili kila somo, yaani 30@ na mengine yote sufuri hatakuwa GPA ya 0.3 amefahuru. hupo hapo. kama ingetumika wastani >70% wamefeli. Matokeo makubwa sasa ndio hayo.
 
Yaani nimechoka GPA 0.3 ,0.2 mtu kafaulu maana yake ni nini hii? siasa mpaka kwenye elimu,kama tafsiri ya GPA ndiyo hii manayake mtu aliyepata GPA YA 0.3 FORM SIX anaenda chuo kikuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…