Nami nimekuwa najiuliza kuhusu hizi siri za baraza la mawaziri ni zipi?Huko sirini kuna nini?
Waingereza bado wanatutawala wana mikataba ya siri na nchi hii?
Hizi sheria nyingi za uendeshaji wa nchi pamoja na katiba yetu nyingi zilichukuliwa kwa waingereza ambazo zilikuwa kandamizi.Na nadhani ndo maana hata wanasita kubadili katiba maana ni siri ya baraza la mawaziri.
Pia kuna jingine la Dua ya kuliombea bunge la jamhuri,Huwa wanaomba kwa Mwenyezi Mungu yupi amabaye hana huruma na watu wake?
Nadhani ni yule anayebariki mikataba kama RICHMOND,IPTL n.k.Again, I saw vanity under the sun