Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Afu wewe nilikushau, aya its your turn now, whats the story?!
Am back sizzya007;

Jina la TRANSCEND;

Mimi nilikuwa napenda sana mambo ya IT na Technology Development issues, though nikiwa chuo sikusoma hii fani ila nilikuwa mtundu sana kwenye mambo ya Computers na electronics devices zingine.....

Computer za wenzangu zikiwa na matatizo ndo nilikuwa nawasaidia na vitu vingine kama hivyo, sasa kuna aina ya flash inaitwa TRANSCEND ( najua wengine mnazijua) , ndo aina ya flash nilikuwaga Natumia na ilikuwa na 32Gb ndani ikiwa na setups za software's na mautundu-utundu mengine ya computers.... So watu wakawa wanajua flash yangu na kwa waliokuwa wanataka kununua flash niliwashauri wanunue TRANSCEND kwa kuw niliipenda sana hiyo brand ya flash disk.

Nakumbuka kuna Lecturer mmoja ambaye computer yake iliingiaga shortcut virus , lecturer akawa anahaha...kazi haifunguki ! Then nikamsaidia kwa kumwekea shortcut remover software .....so akija class ananiulizia ""Yule kijana wangu mwenye flash ya TRANSCEND 32Gb yuko wapi?""
From that day nikawa naitwa TRANSCEND


Kuhusu Avatar:

Huyo ni Blair Underwood , American actor... Kuna mdada alinipendaga tukiwa Olevel-seminary flani hivi Arusha....akawa ananiambia umekaa-kaa kama Blair hivi.....so she was calling me Blair ! Blair ! Nadhani alivurugwaga na hair styles yangu.....! Namshimu sana huyo dada....

Am out, hivyo yaani.
 
mie toka kitambo nilikuwa naopoa bebez kali mno alafu bebe zilikuwa zinadata namimi . Asa wakati nipo sekondali niliopoa the hottest chick shuleni pale! Bas ndo washkaji wakanipa ili jina
 
Dah very interesting..!! !
Harathony ni muunganiko wa majina mawili ,Haroun na Antony..Antony ni rafiki angu mkubwa sana ktk history ya maisha yangu na tulitumia hilo jina ktk kama nickname yetu "Harathony Boys" kipind hicho tupo shule

Story yako almost ifanane na yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…