Elam Victor
New Member
- Dec 27, 2023
- 1
- 4
Habari, ficha ID yangu plz[emoji120]
Karibia miaka 6 Sasa nina tatizo la harufu mbaya ya kinywa hata nipige mswaki mara tatu kwa siku, bado hii hali inaendelea, na nimejaribu mara kadhaa kwenda hospitali bado sijaona badiliko lolote, ni hali inayonipunguzia kujiamini mbele ya watu je hii hali inasababishwa na nini? Na je, nitumie dawa gani niweze kurejea kwenye hali yangu ya kawaida?