Elam Victor
New Member
- Dec 27, 2023
- 1
- 4
Kuna mshikajinwangu anatema harufu huyo mpaka nimechoka. Kumwambia naona so.Habari, ficha ID yangu plz[emoji120]
Karibia miaka 6 Sasa nina tatizo la harufu mbaya ya kinywa hata nipige mswaki mara tatu kwa siku, bado hii hali inaendelea, na nimejaribu mara kadhaa kwenda hospitali bado sijaona badiliko lolote, ni hali inayonipunguzia kujiamini mbele ya watu je hii hali inasababishwa na nini? Na je, nitumie dawa gani niweze kurejea kwenye hali yangu ya kawaida?
Habari, ficha ID yangu plz[emoji120]
Karibia miaka 6 Sasa nina tatizo la harufu mbaya ya kinywa hata nipige mswaki mara tatu kwa siku, bado hii hali inaendelea, na nimejaribu mara kadhaa kwenda hospitali bado sijaona badiliko lolote, ni hali inayonipunguzia kujiamini mbele ya watu je hii hali inasababishwa na nini? Na je, nitumie dawa gani niweze kurejea kwenye hali yangu ya kawaida
Jamaa kauliza suluhisho! Kwa hiyo hii ndiyo dawa?Kuna mshikajinwangu anatema harufu huyo mpaka nimechoka. Kumwambia naona so.
Mkuu pole kwa tatizo Hilo, Umeshawahi kujaribu kutumia mouth wash?Salvia Officional, Salvia Reflexa na aina nginezo za Sage ni miongoni mwa dawa zitakazokusaidia..
Chungulia Kooni kule kunakovimba tezi endapo kuna vitu vyeupe vimeganda usukutue uvitoe.
😁😁😁 Dah kuweni serious hata kidogo mtatutoa mbavuHilo tatizo kubwa sana kwa vijana wa UVCCM😬
Msanga Zalala wilaya ya Kisarawe kuna mtaalamu ana dawa hiyo unapona kabisa ndani ya siku 7. Ila mganga mwenyewe ni wale waganga ambao wanaua kabisa jina lako likipelekwa kwake leo basi kesho unazikwaHabari, ficha ID yangu plz[emoji120]