Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Katika jambo ambalo limekuwa likikwamisha watanzania wengi kusonga mbele ni swala LA mtaji either wa wazo,kipato au sehemu mfano unakuta mtu unawazo zuri tuu la kibiashara au kilimo Ila changamoto hapo n pesa wapi unapata napia kama unavyojua watanzania wengi hawana nyumba ambacho ndio kigezo kikuu cha UDHAMINI WA mkopo ebu tuelezane kama kuna mbadala wa hii kitu ushawahi kukutana nacho