Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Unafikiriaje revolving fund ya Tsh 50,000/= za Magufuli kila kijiji? Ni naona kama ni wazo zuri. Brac imeisaidia sana Bangladesh, tukiwa makini mfumo huo utatufaa pia.
Unazikumbuka bilion za kikwete???????
Zilipelekwa benki, hizi zitapelekwa kwenye grassroots.Hata hivyo huyu Magufuli yule Kikwete. Yule aliwekwa madarakani ni lowasa, huyu atawekwa na watanzania.
Unafikiriaje revolving fund ya Tsh 50,000/= za Magufuli kila kijiji? Ni naona kama ni wazo zuri. Brac imeisaidia sana Bangladesh, tukiwa makini mfumo huo utatufaa pia.
Mbona Tanzania kuna Brac pia lakini haisaidii kama Bangladesh?
Ni hiyo hiyo...! Huku wanapiga biashara ila kwao walisaidia sana.
Watz gani wanaomuweka madarakani Magufuli, ccm ni ile, magufuli ni yule yule, wizi ni ule ule. Hakuna jipya hapo.
Hata zile za kikwete zililetwa kwenye kata watu wakapewa wakaenda kununua mchele na nyama wakala ubwawa habari ikaisha.
Wana deal na nini hasa Brac?
Si mbaya kama watakua na nia hasa ya kuinua maskini kwa mikopo yenye masharti nafuu,Lakini niwajuavyo wahindi!!!sidhani kwakweli..