Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,428
Habarini wakuu!
Natumaini pasaka ilikuwa vyema kabisa kwetu sote,tujikite kwenye topic
Binafsi kwa miaka ya karibuni nimeanza kuona matokeo ya stress zisizokwisha,binafsi huniwia ugumu mno kuzuia hali hii kwa sababu ya changamoto za kimaisha (bado napambana kuzitatua) ,hizi n outcomes zilizojitokeza
Maumivu ya kichwa yasiyokwisha
Kizunguzungu(baada ya kupima niliambiwa ni presha)
Uchovu usio wa kawaida
Kchefuchefu na kukosa hamu ya kula
Kupoteza uzito kutoka 55 kilos had 46kilos
Anxiety
Haya ni matokeo machungu nayoyaona na nadhan nimeshaadhiriwa sana kisaikolojia
Je inawezekana kuushinda msongo wa mawazo mahali ambapo ni vigumu kutatua changamoto zinazokukabili?
Huna dawa zisizo na madhara zinazweza kusaidia tatizo hili?