Nini suruhisho la kuepuka ama kupunguza athari za msongo wa mawazo?

Mkuu asante kwa kuanzisha huu uzi nahisi tapata suluhu.
 
Dk 45 zlzobaki si nyingi tusikimbiane apaa
[emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe njoo huku free stress wenger kaanza kunenepa

mpuuzi mpuuzi tu
 
WaTZ kama wewe tupo wengi kaka na mchawi wetu ni mmoja tu.Anyway dawa pekee ya msongo wa mawazo ni kuwa na dharau kuhusu mapito yako.
 
[emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe njoo huku free stress wenger kaanza kunenepa

mpuuzi mpuuzi tu
Hheee ukiona mwenzako ananyolewa na zako tia majiiii
 
WaTZ kama wewe tupo wengi kaka na mchawi wetu ni mmoja tu.Anyway dawa pekee ya msongo wa mawazo ni kuwa na dharau kuhusu mapito yako.
Haha ni vizri kutafuta reliever tusije kufa siku si zetu
 
Mkuu hzi mbegu nikishaloweka siku moja naweza loweka mbegu hzohzo kwa siku inayofuata?

Je naweza changanya na sukari au asali?

Je nakunywa glas nzima au kiasi?
Usiongeze kitu kbs (maji na kahawa tu)
 
Pole mkuu,,pole mno,,hii hali ilinikuta miaka minne iliyopita baada ya kufiwa ,nlipungua kutoka kg 65 ad 48.Nilichukua hatua zifuatazo
1.Nilitafuta kua karibu na watu ambao walikua wakinishauri,kunifariji kunitia moyo na kunipa mawazo chanya.
2.Nilishauriwa kufanya mazoezi japo mara mbil kwa Siku.
3.Kula chakula cha kushiba na kunywa maji mengi.
4.Nilijipa moyo kwamba hatarudi tena hivyo nisiendelee kuumia mwishowe nisije kuugua
5.Niliongeza ibada na kusoma vitabu vitakakatifu huku nikizingatia zaidi ile mistari inayofariji na kutia moyo
6.Sikujiingiza kwenye mahusiano kwa sabab yanaweza kua chanzo cha kukuongezea msongo wa mawazo.
7.Nilikua najichanganya na watu ili kujaribu kupoteza yale mawazo yalikokua yakinisumbua.
8.Nilikua napata muda mzuri wa kupumzika.

Msongo wa mawazo unatesa sana,unaweza ukajiona uko peke yako hapa dunian,ila usikate tamaa,,fuata ushaur uliopewa na wakuu utakaokufaa kulingna na changamoto inayokukabili,nina iman utakaa sawa.
 
Reactions: Ctr
Asan Ahsante mkuu kwa ushauri murua barikiwa sana naamini ushauri wako hautonisadia mimi pekee be blessed
 
Anza kubeti, utajua kuna vitu vingi vya kuvifikiria kuliko maisha yako.
 
Tafuta demu acha ukauzu...au unaogopa kubonga?

Pili; Kuwa mtu wa mazoezou. Mfano asubuhi kabla ya kazi kimbia 10 kms;

Tatu; Jitahidi kutokuwa mwnyewe
 
Jitahidi fanya mazoezi hata yakutembea tu,jichanganye na watu pata mawazo tofauti tofauti,usitoe siri zako kwa usiowaamini,jikubali kama ulivyo (usitamani vya wengine),fanya meditation ukiwa peke yako ili ujipate we ni nani na unataka nini (hapa ibada yahusika pia),ni hayo tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…