The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 4,118 Reaction score 9,864 Feb 22, 2024 #1 GreatThinkers Naombeni nimpe muongozo. Mtu mzito akifa bendera zinapepea nusu mlingoti. Lakini katika hali ya kawaida sa12 lazima bendera zishushwe why? Ni utamaduni ama kitu gani?
GreatThinkers Naombeni nimpe muongozo. Mtu mzito akifa bendera zinapepea nusu mlingoti. Lakini katika hali ya kawaida sa12 lazima bendera zishushwe why? Ni utamaduni ama kitu gani?