Nini tafsiri ya Download?

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Yawezeka na imeulizwa lakini nahitaji msaaada wa haraka; tafsiri ya neno download ama ku download kwa kiswahili sanifu
 
Yawezeka na imeulizwa lakini nahitaji msaaada wa haraka; tafsiri ya neno download ama ku download kwa kiswahili sanifu

Down=Chini
Load=Mzigo/ingiza/pakia

Kwa mtazamo wangu nadhani ni Mzigo wa chini
 
HAPO utakuwa umefanya tafsiri sisisi (neno kwa neno)
Si vibaya kutoa maoni yangu kwa jinsi ulivyofikri... Maana ya ya kisemantiki ndio inatakiwa tuifanyie kazi
 
Download = Pakua

Upload = Pakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…