Nini tafsiri ya hii ibara ya 21 ibara ndogo ya 2

Nini tafsiri ya hii ibara ya 21 ibara ndogo ya 2

GREATTHINKERDAIMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
232
Reaction score
46
"21.-(1) bila kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (2), serikali na vyombo vyake, watu au mamlaka yoyote yenye kutekeleza madaraka ya utawala, kutunga sheria au ya utoaji haki, vitakuwa na jukumu na wajibu wa kuzingatia na kutekeleza masharti yote ya sura hii.
(2) masharti ya sura hii hayatatiliwa nguvu ya kisheria na mahakama yoyote. Mahakama yoyote nchini haitakuwa na uwezo wa kuamua juu ya suala kama kutenda au kukosa kutenda jambo kwa mtu au mahakama yoyote, au kama sheria, au hukumu yoyote, inaambatana na masharti ya sura hii."

wataalamu kwenye mambo ya katiba mtujuze ili tuendelee kuisaidia jamii hasa tunapoelekea kwenye upigaji wa kura ya maoni ya katiba.
Mungu ibariki tanzania na hao wakaao ndani yake.
 
Back
Top Bottom