sina hakika kama ndivyo tafsiri halisi ya mada tajwa! kwanza certiorari ni prerogative order ya mahakama kwa administrative authorities na si kwa mahakama zilizo chini yake! kuna kitu kinaitwa judicial review, ni mamlaka ya mahakama hasa mahakama kuu kuangalia correctness, legality na propriety of a decision of an administrative authority na ndo inayotoa hiyo certiorari-kereview decision, mandamus-kuamrisha tendo la kiadministrative ifanyike, injunction-kuzuia jambo lisifanyike mathalan mgomo wa waalimu/madokta, habeas corpus-kuamrisha mtu aliekifungoni isivyo halali kuachiliwa, na kuna zingine zinaitwa ordinary orders za mahakama kama vile declaratory orders na vingine.