Tino Rushema
Member
- Jan 10, 2015
- 5
- 2
Sidhani kwamba kuna athumani special anaenanishwa hapo. Athumani hapo na ni mtu (mchoyo)
After all huo ni msemo wa waswahili tu. Mataifa mengine hawatumii wala kumanisha Athumani huyo unaemuazia. (Not conclusive, just free thinking)
Maana yake Mungu si gaidi kama wenye dini anayosali athumani.
Mkuu CHAMVIGA umerudia rudia majina ya upande mmoja,unataka kusema niniSi Athumani wala Juma.
Kwani athuman lina maanisha mtu mchoyo
Maana yake Mungu si gaidi kama wenye dini anayosali athumani.
Maana yake Mungu si gaidi kama wenye dini anayosali athumani.
Maana yake Mungu hafananishwi na kiumbe yoyote yule
katika utendaji wake