Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Wasalaam,
Watafsiri ndoto, watu wa Imani, manabii, wanajimu....n.k, naombeni msaada wenu.
Ipo hivi.....
Kuna aina ya ndoto nimekuwa nikiota kwa muda mrefu sana kwenye maisha yangu, over 7+ years, nashindwa kuelewa maana yake na kwanini zimekuwa zikijirudia kwa namna yake kwenye hali tofauti tofauti.
1. Inatokea Kuna msala mkubwa nakuwa nimefanya then nakuwa most wanted, natafutwa na mamlaka kila mahali, ndoto nzima nakuwa nahangaika kukimbia na kujificha either maporini, kwenye misitu mikubwa n.k uwoga na wasiwasi ndio vinatawala mpaka nitaposhtuka usingizini.
2. Kuna ndoto hunijia ikinirudisha kipindi cha shule hasa chuo/high school, let's say naingia kwenye mtihani kwa kushtukizwa nikiwa sina ninachokijua, moyo unajawa na woga, mfadhaiko, simanzi mpaka nitaposhtuka,
Upande mwingine..... shule imefunguliwa (boarding school) asubuhi ya kuingia darasani wakati watu wanajiandaa mimi nagundua sina uniform either shati ama suruali na nakosa option zaidi ya kuchanganyikiwa, kuingia na uwoga, majuto, simanzi na mahangaiko ya nafsi mpaka nitaposhtuka usingizini (hii ndoto imekuwa ikijirudia mara nyingi zaidi).
Hebu mnijuze wakuu kama kuna mtu ana ujuzi wa mambo haya, tafsiri, experience n.k.
Mshana Jr Rakims Bujibuji Simba Nyamaume
Wasalaam,
"Everything is possible for those who believe" lets meet at the top, cheers 🥂.
Mla bata
München, Deutschland 🇩🇪.