Nini tafsiri ya ndoto hii

πŸ˜‚πŸ˜‚ Hamna walaa, kaniuliza tu Dada yangu gani??? Nikamwambia simjui jina lake , then akanipigia...Ahsante sana ndugu yangu, Amenifungua Sana macho mambo mengi, usiende kumuuliza Sasa huko πŸ˜‚
Hamna bwana huwa simuulizi ni kama Dr hatoi siri ya mgonjwa wake na mie huwa siulizi nikishampa mtu namba imetoka sifatilii labda yeye ndo ataniambia N.... Kuna mtu alinitafuta kasema umempa namba namwambia sijui yupi huwapa wengi basi tunaishia hapo mwiko haruhusiwi kusema shida ya mtu.
 
Ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…