Nini tafsiri ya serikali kutoingilia mahakama na msamaha wa rais?

Nini tafsiri ya serikali kutoingilia mahakama na msamaha wa rais?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Ufafanuzi hapo wakuu kama serikali haitakiwi kuingilia maamuzi ya mahakama mbona kuna msamaha wa rais kwa wafungwa..?

Kama mahakama ndio inayohukumu, kwanini rais apewe jukumu la kutoa msamaha?

Je, jambo hili lina usiasa ndani yake?

Mnakaribiswa kwa ufafanuzi..
 
He! hakuna ajuae.?!
 
Maana yake mahakama zinatakiwa ziwe guru pindi zinapokuwa zinatoa maamuzi take bila kuingiliwa na serikali msamaha wa rais ni mamlaka aliopewa rais kwa mujibu wa katiba kutoa msamaha kwa wafungwa
 
Back
Top Bottom