Nini tafsiri ya ukurasa wa CCM kuwa na wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa Twitter?

Nini tafsiri ya ukurasa wa CCM kuwa na wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa Twitter?

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Ukurasa wa chama cha mapinduzi ndio ukurasa wa chama cha siasa wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa twitter nchini.

CCM 833k
CHADEMA 731k

Nini tafsiri ya hili jambo ikizingatiwa twitter ndio mtandao unaoaminika kuwa na watu wasomi wenye exposure juu ya taifa lao na siasa zake?

======

CCM.PNG
CHADEMA.PNG
 
Sio wafuasi ila wafuatiliaji tofautisha kwanza hivyo viwili alafu jua CCM nichama twawala... Hata benki hutembelewa nawatu wengi kuliko miskiti/kanisa haina maana bank ndiyo peeema kuliko hizo nyumba za ibada!!
 
Back
Top Bottom