crankshaft JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 1,427 Reaction score 3,438 Jun 12, 2023 #1 Ukurasa wa chama cha mapinduzi ndio ukurasa wa chama cha siasa wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa twitter nchini. CCM 833k CHADEMA 731k Nini tafsiri ya hili jambo ikizingatiwa twitter ndio mtandao unaoaminika kuwa na watu wasomi wenye exposure juu ya taifa lao na siasa zake? ======
Ukurasa wa chama cha mapinduzi ndio ukurasa wa chama cha siasa wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa twitter nchini. CCM 833k CHADEMA 731k Nini tafsiri ya hili jambo ikizingatiwa twitter ndio mtandao unaoaminika kuwa na watu wasomi wenye exposure juu ya taifa lao na siasa zake? ======
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jun 12, 2023 #2 Kavinsky said: Ukurasa wa chama cha mapinduzi ndio ukurasa wa chama cha siasa wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa twitter nchini. CCM 833k CHADEMA 731k Nini tafsiri ya hili jambo ikizingatiwa twitter ndio mtandao unaoaminika kuwa na watu wasomi wenye exposure juu ya taifa lao na siasa zake? ====== View attachment 2654828View attachment 2654831 Click to expand... Report ya Reset unajuwa inasemaje kuhusu wafuasi wa Ccm? Cc: Dawa ya Uvccm
Kavinsky said: Ukurasa wa chama cha mapinduzi ndio ukurasa wa chama cha siasa wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa twitter nchini. CCM 833k CHADEMA 731k Nini tafsiri ya hili jambo ikizingatiwa twitter ndio mtandao unaoaminika kuwa na watu wasomi wenye exposure juu ya taifa lao na siasa zake? ====== View attachment 2654828View attachment 2654831 Click to expand... Report ya Reset unajuwa inasemaje kuhusu wafuasi wa Ccm? Cc: Dawa ya Uvccm
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Jun 12, 2023 #3 Kavinsky said: Ukurasa wa chama cha mapinduzi ndio ukurasa wa chama cha siasa wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa twitter nchini. CCM 833k CHADEMA 731k Nini tafsiri ya hili jambo ikizingatiwa twitter ndio mtandao unaoaminika kuwa na watu wasomi wenye exposure juu ya taifa lao na siasa zake? ====== View attachment 2654828View attachment 2654831 Click to expand... Duh🤣
Kavinsky said: Ukurasa wa chama cha mapinduzi ndio ukurasa wa chama cha siasa wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa twitter nchini. CCM 833k CHADEMA 731k Nini tafsiri ya hili jambo ikizingatiwa twitter ndio mtandao unaoaminika kuwa na watu wasomi wenye exposure juu ya taifa lao na siasa zake? ====== View attachment 2654828View attachment 2654831 Click to expand... Duh🤣
Shilingii Senior Member Joined Feb 3, 2023 Posts 158 Reaction score 205 Jun 12, 2023 #4 Sio wafuasi ila wafuatiliaji tofautisha kwanza hivyo viwili alafu jua CCM nichama twawala... Hata benki hutembelewa nawatu wengi kuliko miskiti/kanisa haina maana bank ndiyo peeema kuliko hizo nyumba za ibada!!
Sio wafuasi ila wafuatiliaji tofautisha kwanza hivyo viwili alafu jua CCM nichama twawala... Hata benki hutembelewa nawatu wengi kuliko miskiti/kanisa haina maana bank ndiyo peeema kuliko hizo nyumba za ibada!!