nini tatazo la nywele kukatika?

nini tatazo la nywele kukatika?

reginahope

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
163
Reaction score
30
habari wanajf. nimekuwa na tatizo la mda mrefu sn la kukatika kwa nywele hasa wakati wa kuchana.kwa mwenye kufahamu dawa plz naomba msaada plz
 
Back
Top Bottom