Nini Tatizo kwa Timu zinazodhaminiwa na Makampuni toka Afrika?

Nini Tatizo kwa Timu zinazodhaminiwa na Makampuni toka Afrika?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Hull City,Sunderland,na Sasa Everton nini tatizo kwa timu hizi zinazodhaminiwa na makampuni toka Afrika?Everton wamefanya usajili mzuri ila wapo hoi taabani pamoja na kufukuza kocha bado tu wapo chini ya Sportpesa.

Ni Betting Issues au ni matokeo ya kawaida ya uwanjani?
 
sportpesa ni kampuni la waafrika kumbe
ni watu wa wapi hawa
 
Back
Top Bottom