Hull City,Sunderland,na Sasa Everton nini tatizo kwa timu hizi zinazodhaminiwa na makampuni toka Afrika?Everton wamefanya usajili mzuri ila wapo hoi taabani pamoja na kufukuza kocha bado tu wapo chini ya Sportpesa.
Ni Betting Issues au ni matokeo ya kawaida ya uwanjani?