Nini tatizo la mguu(unyayo) kuuma??

Nini tatizo la mguu(unyayo) kuuma??

Nsuri

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
1,013
Reaction score
562
Jamani naombeni kujua nini tatizo linalosababisha mguu kwenye unyayo chini usawa wa kisingino kuuma wakati nakanyaga chini?? ni mguu mmoja tuu.
 
Back
Top Bottom