Nini tatizo la watu wanaotumia X badala ya S

Nini tatizo la watu wanaotumia X badala ya S

chagga gang

Member
Joined
Aug 21, 2021
Posts
62
Reaction score
34
Mwalim xaid naomb unixaidie kuomba vyuo maana xixta xalm hajanixaidia amexem unxaidie wewe ama ukiwez, ntatm hela 2mor
..
Tatizo la hawa vijana ni nini mazoea ya kuandika au ni rika
 
Mwalim xaid naomb unixaidie kuomba vyuo maana xixta xalm hajanixaidia amexem unxaidie wewe ama ukiwez, ntatm hela 2mor
..
Tatizo la hawa vijana ni Nini..mazoea ya kuandika au ni rika
Aise uandishi kichefu chefu sana uo mimi simsaidii kwa kwel
 
Nina kijana anaingia form 6 akianza kuandika hivyo sikuwah kujibu, Hadi anapiga simu nikamwambia usipobadilika utakula x zako.
 
Nisiwe muongo.

Mdada anayechat na mimi kwa X akimaanisha S basi lazima kuna kitu hua namuomba.
 
Wanaiga mambo kwa wazungu hadi wazungu wenyew wanabaki kushangaa...hawa wapuuzi ni kati ya form 2 na form 4....kule chini form 1 mpk primary hawana huu ujinga na kule juu 5 na 6 ni wale vilaza mmoja mmoja walioshindwa kujivua gamba la ujinga la hapo kati.
 
Back
Top Bottom