Wakuu kwema?
Hivi huyu mmakonde aliyepata kiki kwa ishu za ajabu ajabu kama vile kukimbia bastola iliyonyoshwa kwa mh Nape na mengine mengi mbona kimya.
Amepotelea wap wakuu.
Anayejua ukimya wake atupe ubuyu kiaina basi.
Majani aliingia cha kike kwa kudhani amepata mtu atakayempa heshima kama Sir Nature au Albert Mangwair.Wale jamaa walikuwa na vipaji vya kuzaliwa siyo kutengenezwa brothers.Kwa huyo dogo majani aliingia cha kike aseee.