Nini tiba halisi ya magonjwa ya kisaikolojia na akili?

Nini tiba halisi ya magonjwa ya kisaikolojia na akili?

kindikinyer leborosier

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2018
Posts
456
Reaction score
833
Assalam wanajamvi! poleni na majukumu ya kila siku!

Nawezaje kupata msaada wa matibabu/uchunguzi wa magonjwa ya akili!?

Natanguliza shukrani
 
Nadhani kuna maelezo yamekosekana kwenye uzi wako,

"ninahisi nitakua ninatatizo japo halijawa kubwa!"

Kwanini uhisi hivyo? Ebu funguka zaidi ili upate kusaidiwa zaidi...

Karibu!

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Magonjwa mengi ya akili msingi wake ni cell za ubongo kutokuwa na uwezo wa kutumia sukari hasa kwa kuwa mwili umeshindwa kuyeyusha sukari hiyo au sukari hiyo imeshindwa kuunguzwa kwenye ubongo kwa kuwa hakuna catalyst ya kutosha au sukari imeshindwa kuingia kwenye cell za ubongo.

Kwa hiyo ubongo unapokosa energy ndio unaanza ku miss behave.. Kemia ya ubongo huathiriwa hivyo kumfanya mtu awe na phsychiatric condition. Mengine ni sababu za ziada.
 
Asante! matibabu yake yapoje mkuu?
 
mkuu hujajieleza vizuri ili wadau wajue wanaanzia wapi kukushauri, kama hutojali edit uzi wako ili upate wepesi wakusaidika
 
nimekua na hasira nyingi, kichwa kukosa utulivu, kujisahau sana, na wakati mwingine kuzungumza mwenyewe! malezi, matarajio na matamanio yangu ya kimaisha yanaweza kuwa chanzo!

Well, mimi si expert wa masuala ya akili lakini kwa uzoefu tu, matatizo yako uliyoyaainisha hapo juu yanaonekana ni yamebase kisaikolojia zaidi ambapo vyanzo vyake vinaweza kuwa ni short term (matamanio, matarajio, migogoro ya kimahusiano) ama long term courses (malezi n.k) kama ulivyoainisha hapo awali.

Habari nzuri ni kuwa at least unafahamu ni nini kinasumbua, wapo wataalamu wa saikolojia ya binadamu wanaweza kukusaidia, na kwa humu Jf huu uzi Moderator wanaweza kukusaidia kuupeleka kule kwenye jukwaa la afya labda utapata msaada zaidi.

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Sio kweli,haya ni maelezo potofu sana.
Magonjwa mengi ya akili msingi wake ni cell za ubongo kutokuwa na uwezo wa kutumia sukari hasa kwa kuwa mwili umeshindwa kuyeyusha sukari hiyo au sukari hiyo imeshindwa kuunguzwa kwenye ubongo kwa kuwa hakuna catalyst ya kutosha au sukari imeshindwa kuingia kwenye cell za ubongo...
Kwa hiyo ubongo unapokosa energy ndio unaanza ku miss behave.. Kemia ya ubongo huathiriwa hivyo kumfanya mtu awe na phsychiatric condition. Mengine ni sababu za ziada.
 
Back
Top Bottom