kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 456
- 833
Nimekua na hasira nyingi, kichwa kukosa utulivu, kujisahau sana, na wakati mwingine kuzungumza mwenyewe! malezi, matarajio na matamanio yangu ya kimaisha yanaweza kuwa chanzo!Nadhani kuna maelezo yamekosekana kwenye uzi wako,
"ninahisi nitakua ninatatizo japo halijawa kubwa!"..
Asante! matibabu yake yapoje mkuu?Magonjwa mengi ya akili msingi wake ni cell za ubongo kutokuwa na uwezo wa kutumia sukari hasa kwa kuwa mwili umeshindwa kuyeyusha sukari hiyo au sukari hiyo imeshindwa kuunguzwa kwenye ubongo kwa kuwa hakuna catalyst ya kutosha au sukari imeshindwa kuingia kwenye cell za ubongo.
asantemkuu hujajieleza vizuri ili wadau wajue wanaanzia wapi kukushauri, kama hutojali edit uzi wako ili upate wepesi wakusaidika
nimekua na hasira nyingi, kichwa kukosa utulivu, kujisahau sana, na wakati mwingine kuzungumza mwenyewe! malezi, matarajio na matamanio yangu ya kimaisha yanaweza kuwa chanzo!
Inategemea na ugonjwa.. Ila magonjwa mengi ya akili ni ya kutumia dawa mara kwa mara.. Sio kama malaria ambayo unaweza kupona kwa single doze!asante! matibabu yake yapoje mkuu?
Magonjwa mengi ya akili msingi wake ni cell za ubongo kutokuwa na uwezo wa kutumia sukari hasa kwa kuwa mwili umeshindwa kuyeyusha sukari hiyo au sukari hiyo imeshindwa kuunguzwa kwenye ubongo kwa kuwa hakuna catalyst ya kutosha au sukari imeshindwa kuingia kwenye cell za ubongo...
Kwa hiyo ubongo unapokosa energy ndio unaanza ku miss behave.. Kemia ya ubongo huathiriwa hivyo kumfanya mtu awe na phsychiatric condition. Mengine ni sababu za ziada.
Weka basi yasiyo potofuSio kweli,haya ni maelezo potofu sana.
Nitaweka