nini tiba ya hii

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
18,272
Reaction score
20,692
jf doctors nini ni tiba ya tumbo la mp? na hapa namuongelea mwanamke ambaye tayari ameshazaa tayari lakini bado siku za mp anaumwa kama anataka kuzaa tena.
 
mmmhhh aisee pole sana tokea umejifungua ndio hivyo hali ulionayo pole sana..
 
ahsante sana kiongozi. ila naumwa serious.
 
ahsante sana kiongozi. ila naumwa serious.

Pole..i know how it hurts jamani-mpaka unatamani umwazimishe mtu mwingine hilo tumbo!sijazaa lakini maumivi nnayo jiakiskiaga-acha tu!
I heard it gets better after child birth lakini!
Tungoje wataalamu..ma obs and gyn mkwapi??
 
phina naona leo akina mzizi mkavu wametususa, but kweli nahitaj msaada.
 
phina naona leo akina mzizi mkavu wametususa, but kweli nahitaj msaada.

Pain killers??diclofenac injections??
Hata buscopan haisaidii??

Sijui tuwa-PM kabisa??
 
it has gone far than that kwani nimechoma hizo sijatulia ikabidi wanipe powercef may be ni infection lakin bado, now am scared kwani damu inatoka nyingi na maumivu ni makali and nilifanya ultra sound hawajaona tatizo la kivile. hapo ndo nilipochanganyikiwa
 
Haya majina haya! Wewe gfsonwin I am half way in Love with you nilijua ni mwanaume.

Zile comments za kujenga kwenye ile thread zilinifanya nianze kujipanga ili nikutokee

tujaribu toka out. Nipo dissapointed sasa. Pole na tumbo shosti.
 
Last edited by a moderator:
Haya majina haya! Wewe gfsonwin I am half way in Love with you nilijua ni mwanaume.

Zile comments za kujenga kwenye ile thread zilinifanya nianze kujipanga ili nikutokee

tujaribu toka out. Nipo dissapointed sasa. Pole na tumbo shosti.

ASANTE sana ma dia me ni ke. usjali but sikujua kama nawakuna watu..... lol ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…