Joseph Kasa-Vubu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 356
- 550
Kwa muda wa mwaka sasa nimepimwa na kukutwa na hili tatizo katika figo ya kushoto( Kidney cyst 2.9cm x2.5cm ).Wakati mwingine huwa nasikia maumivu upande wa kushoto.
Madaktari wanasema haina madhara ila maumivu wakati mwingine yanasumbua.Nini hasa tiba ya huu ugonjwa ikiwezekana hata tiba mbadala.
Nitashukuru.
Madaktari wanasema haina madhara ila maumivu wakati mwingine yanasumbua.Nini hasa tiba ya huu ugonjwa ikiwezekana hata tiba mbadala.
Nitashukuru.