Joseph Kasa-Vubu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 356
- 550
Mkuu pole kwa maradhi yako Ma-Daktari wanakudanganya kwani kuvimba kwa figo aka Kidney cyst 2.9cm x2.5cm ) ni hatari kwa afya ya figo huo ndio mwanzo wa kuharibika hilo figo lako. Nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia uguwa pole mkuu.Kwa muda wa mwaka sasa nimepimwa na kukutwa na hili tatizo katika figo ya kushoto(Kidney cyst 2.9cm x2.5cm ).Wakati mwingine huwa nasikia maumivu upande wa kushoto.
Madaktari wanasema haina madhara ila maumivu wakati mwingine yanasumbua.Nini hasa tiba ya huu ugonjwa ikiwezekana hata tiba mbadala.
Nitashukuru.
Mkuu naona kama umeniwakilisha.....mimi maumivu yanakuwa kwa nyuma maeneo ya uti wa mgongo..halafu maumivu hayo yanakuja mpaka kwenye kufua chini ya nyonyo { mimi ni ME} la kushoto........hii ni wiki ya pili sasa.....natumaini kwa maumivu haya kwakweli pombe ndio basi..maana nimepata hofu sana....leo nilitaka niende hospitali ila nitaenda kesho..ila hofu ni endapo madokta watasema issue ni Figo {Mungu aepushilie mbali} isiwe hiyo kitu.Kwa muda wa mwaka sasa nimepimwa na kukutwa na hili tatizo katika figo ya kushoto( Kidney cyst 2.9cm x2.5cm ).Wakati mwingine huwa nasikia maumivu upande wa kushoto.
Madaktari wanasema haina madhara ila maumivu wakati mwingine yanasumbua.Nini hasa tiba ya huu ugonjwa ikiwezekana hata tiba mbadala.
Nitashukuru.
Nenda kafanye vipimo mkuu ujue tatizo ni niniMkuu naona kama umeniwakilisha.....mimi maumivu yanakuwa kwa nyuma maeneo ya uti wa mgongo..halafu maumivu hayo yanakuja mpaka kwenye kufua chini ya nyonyo { mimi ni ME} la kushoto........hii ni wiki ya pili sasa.....natumaini kwa maumivu haya kwakweli pombe ndio basi..maana nimepata hofu sana....leo nilitaka niende hospitali ila nitaenda kesho..ila hofu ni endapo madokta watasema issue ni Figo {Mungu aepushilie mbali} isiwe hiyo kitu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app