desmond JJ
Member
- Jul 6, 2012
- 55
- 27
Wataalamu naomba kufahamishwa namna ya kutibu maumivu ya nyonga, ni tatizo linalonikumba kila mara nikiwa katika mazoezi ya mpira wa miguu au hata hizi mechi zetu za mchangani maumivu yananinyima uwezo wa kupiga pasi ndefu Kukimbia kwa spidi
Kugeuka kwa haraka Pamoja na kuruka (high jump) naomba msaada wenu tafadhali
Kugeuka kwa haraka Pamoja na kuruka (high jump) naomba msaada wenu tafadhali